WAZIRI wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya mbolea duniani ambayo mwaka huu kitaifa yamefanyika mkoani Ruvuma kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea.Maadhimisho hayo ambayo yalianza Oktoba 11,yalifunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.