Kushoto ni Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo ambaye pia ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Francis Mgoloka kushoto ni Meneja wa NMB Tawi la Namtumbo Julietha Ndazi wakiwaongoza wadau wa michezo kwenye Bonaza la NMB ambapo Bonanza hilo lilianza kwa kufanya Jogging kukimbia kutoka shule ya Msingi Namtumbo hadi uwanja wa Kawawa Kata ya Rwinga mjini Namtumbo ambako ilifanyika michezo mbalimbali na washindi kuzawadiwa.
Katika Bonanza hilo pia NMB ilisajiri wanachama na mashabiki wa timu za Simba na Yanga na kufungua akaunti za Timu zao.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.