Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema kisiwa cha Lundo kilichopo ziwa Nyasa Wilaya ya Nyasa kimesheheni utajiri mkubwa wa historia ya ya Tanganyika kwa sababu kilitumika na wakoloni wa kijerumani kuhifadhi watu waliopata ulemavu kutokana na ugonjwa wa ukoma baada ya kumalizika vita ya Majimaji ilioanza mwaka 1905 hadi 1907 hivyo wenye ukoma walianza kuhifadhiwa kwenye kisiwa hicho kuanzia mwaka 1908.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.