Hiki ni kisiwa cha Lundo kilichopo kilometa nne kutoka fukwe za ziwa Nyasa na kina ukubwa wa hekta 20.Kisiwa hiki kina historia mbalimbali ikiwemo kutumika kuwaweka wagonjwa wa ukoma mwaka 1917 wakati wa ukoloni wa wajerumani.Kisiwa hiki hivi sasa kinafaa kuwekeza katika sekta ya utalii na uwekeaji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.