Kiruo cha Afya Kata ya Lilambo Manispaa ya Songea ambacho kimejengwa na serikali kupitia mapato ya ndani kwa gharama ya shilingi milioni 514 kimeanza kutoa huduma kwa wananchi.
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Odo Mwisho imekagua mradi huo na kupongeza baada ya kuanza kutoa huduma za matibabu kwa wananchi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.