SERIKALI imetoa jumla ya shilingi milioni 400 kutekeleza mradi wa kituo cha afya Magagura kilichojengwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.Kukamilika kwa kituo hicho kunasogeza huduma za afya kwa wananchi wa Magagura,Chipole na maeneo jirani.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.