Pichani ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mheshimiwa Kapenjama Ndile akikata utepe kwenye ufunguzi wa ghala la mbolea la Kiwanda cha ITRACOM mtaa wa Msamala Manispaa ya Songea.
Kiwanda cha ITRACOM FERTILIZER LIMITED kimejengwa mkoani Dodoma kina uwezo wa kuzalisha mbolea na virekebishi vya udongo zaidi ya tani milioni 1.5 kwa mwaka hivyo kukidhi mahitaji ya mbolea katika nchi nzima ambayo ni kati ya tani 600,000 hadi 700,000 kwa mwaka.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.