Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas alikuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Ruvuma lililoratibiwa na WASAFI MEDIA na kufanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.Kongamano hili lilishirikisha wadau mbalimbali wa maendeleo pia zilitolewa mada tano kuhusu uwekezaji na biashara mkoani Ruvuma katika sekta za ,madini,miundombinu,uchumi wa buluu,utalii na kilimo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.