Afisa Ushirika Wilaya ya Tunduru Gorge Bisani amevipongeza vyama vya Msingi vya Ushirika Kwa utendaji kazi wa ukusanyaji wa mazao hasa katika msimu huu wa zao la korosho.
Katika msimu huu wa zao la korosho, jumla ya minada nane imefanyika, ambapo zaidi ya tani 26,000 zilikusanywa na kufanya zaidi ya Bilioni 45 kuingia katika mzunguko katika mauzo ya zao hilo la korosho.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.