Wananchi wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wanamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa zaidi ya bilioni 4.8 kutekeleza ujenzi wa hospitali ya Wilaya hiyo ambayo imeanza kuhudumia wananchi tangu mwaka 2021 ambapo hadi sasa wagonjwa zaidi ya 10,000 wamehudumiwa katika hospitali hiyo wakiwemo wagonjwa kutoka nchi jirani ya Msumbiji
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.