Muonekano wa shule mpya ya msingi katika Kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,mradi huo umetekelezwa kupitia mradi wa BOOST na umekamilika kwa asilimia 100 tayari wanafunzi wa Awali na msingi wanasoma katika shule hiyo yenye mazingira bora ya kufundishia na kujifunzia hivyo kuwa kivutio kwa wanafunzi na walimu.Hongera serikali ya Awamu ya Sita
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.