Machi 19 mwaka huu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatimiza miaka minne kamili ya uongozi wake ,pichani Rais Dkt.Samia akiwa na wanafunzi wa shule ya msingi Chifu Zulu iliyopo Kata ya Mshangano Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,ambapo Rais Samia aliifungua rasmi shule hiyo Septemba 2024 alipofanya ziara ya kikazi mkoani Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.