Muonekano wa hospitali mpya ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma ambayo imejengwa eneo la Kiamili na tayari imeanza kutoa huduma za matibabu kwa wananchi wa eneo hilo ambao awali walikuwa wanapata changamoto ya kusafiri hadi mjini Mbinga au Songea kufuata huduma za afya.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.