Muonekano wa majengo mapya yaliyojengwa na serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika hospitali ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma.serikali imeweza kuboresha majengo na kununua vifaa tiba vya hospitali hiyo hali ambayo pia imeboresha utoaji huduma za afya kwa wananchi.Hospitali hiyo haijawahi kufanyiwa ukarabati tangu ilipojengwa na wakoloni mwaka 1930,
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.