Muonekano wa Jengo jipya la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma ambalo lilizinduliwa rasmi na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Septemba 2024.Jengo hili limeboresha mazingira bora ya kufanyia kazi watumishi na wananchi wanapata huduma katika mazingira bora na yanayovutia.Hongera sana serikali ya Awamu ya Sita kwa kutekeleza mradi huu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.