Muonekano wa shule mpya ya msingi Nyasa iliyopo katika Kata ya Kilosa Halmashauri ya Nyasa mkoani Ruvuma,ambapo serikali ya awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetekeleza mradi huo kupitia programu ya BOOST. Shule hii imekamilika na inachukua wanafunzi wa Awali na shule ya msingi.Hongera na kazi iendelee
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.