MKURUGENZI wa Taasisi ya Saint Teresa Orphans Association (STOF) ya Ruvuma Teresa Rich Nyirenda ni miongoni mwa wanawake wachache wenye uthubuti ambaye hadi sasa amesomesha watoto yatima zaidi ya 300 ambao wamefikia viwango hadi vyuo vikuu.
Tunapoelekea kilele cha siku ya wanawake Duniani ni muhimu kuwakumbuka na kuwatambua wanawake waliotoa mchango mkubwa wa kusaidia wenye mahitaji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.