MAONESHO ya nanenane katika Mkoa wa Ruvuma mwaka huu yamepambwa na maonesho ya bidhaa mbalimbali za wakulima na wafugaji,moja ya banda ambalo linatembelewa na wengi katika maonesho hayo ambayo yanafanyika kwenye viwanja vya Msamala mjini Songea,ni kuku Kuchi wenye uwezo wa kupigana hadi kufa,kuku hawa wanatumiwa zaidi kibiashara hali ambayo imesababisha kuku kuchi mkubwa kuuzwa kati ya shilingi 200,000 hadi milioni moja na vifaranga vya kuku kuchi kuuzwa kati ya shilingi 50,000 hadi 70,000.TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=X6Fnw3Whgh8
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.