Baadhi ya machifu wa ndani na nje ya nchi wakiwa kwenye kilele cha kumbukizi ya mashujaa wa vita ya Majimaji kilichofanyika kwenye viwanja vya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea mkoani Ruvuma ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda ambaye alipokewa na Mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.