MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezungumza na watumishi wa Ofisi yake.Thomas amewaomba watumishi hao kwa dhamana waliyopewa ya utumishi kutenda haki katika kuwatumikia wananchi na kushirikiana katika kazi. Mkuu wa Mkoa amewaambia watumishi hao kufanya kazi kwa bidii bila kujali pale viongozi wanapokuwa wamesafiri watumishi kuto kaa ofisini na kuendelea na shughili zao. https://www.youtube.com/watch?v=58K-_-_KY8w
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.