katikati ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki akikagua moja ya maabara kwenye mradi wa Ujenzi wa sekondari mpya Kata ya Lusonga Halmashauri ya Mji Mbinga ambapo serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi milioni 470 kujenga sekondari hiyo ambayo imesajiriwa na kuanza kuchukua wanafunzi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.