Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akiwasalimia Watoto waliohudhuria maadhimisho ya siku ya Kahawa duniani ambayo kimkoa yamefanyika katika viwanja vya Shule ya msingi Liganga Wilaya ya Songea
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akisalimiana na Wananchi na wakulima wa Kahawa waliojitokeza katika maadhimisho ya siku ya kahawa duniani ambayo kwa Kanda ya Ruvuma yamefanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Liganga wilayani Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.