Maafisa Elimu Kata mkoani Ruvuma wametakiwa kutimiza wajibu wao kwa kutoa msaada wa kitaaluma ili kuwawezesha walimu kutimiza majukumu yao kwa kufundisha kwa ufanisi na kuboresha kiwango cha elimu
Wito huo umetolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki, katika kikao kazi cha Maafisa elimu ngazi ya Wilaya na kata kilichofanyika ukumbi wa chandamali, Manispaa ya Songea
Ndaki amesema ni wajibu wa kila afisa elimu kata kuhakikisha waalimu wamefundisha vipindi vyote kwa kufuata miongozo ya mtaala wa elimu ambao umekubaliwa kutumika kufundishia mashuleni
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.