Mto Ruvuma ambao chanzo chake kipo milima ya Matogoro Manispaa ya Songea ,unatajwa kuwa na maajabu mengi ukiwemo urefu wa kilometa zaidi ya 800 ukizungumza katika wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma kuanzia Songea,Mbinga,Namtumbo,Nyasa hadi Tunduru kisha kwenda kumwaga maji yake Bahari ya Hindi mkoani Mtwara.Tazama makala kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=QuRCAswvXFI
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.