Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Sajidu Idrisa Mohamed amesema kampuni mbili za uchimbaji madini ya makaa ya mawe zinatarajia kuanza kuchimba madini hayo katika kata za Mtyangimbole na Gumbiro kuanzia mwezi Machi mwaka huu.
Sajidu ametoa taarifa hiyo wakati anazungumza kwenye mkutano wa Baraza la madiwani la Halmashauri hiyo mjini Madaba
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.