HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ni miongoni mwa Halmashauri zilizofanikiwa kukamilisha madarasa mapya 65 kati ya hayo madarasa 46 ni shule za sekondari na madarasa 19 ya shule shikizi za msingi ambapo serikali imetoa shilingi bilioni 1.3 kutekeleza mradi huo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.