Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema miundombinu ya madarasa ya awali,shule za msingi na sekondari ipo tayari kwa ajili ya kupokea wanafunzi Januari 8 mwaka huu.
Akizungumza na wanahabari katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Songea,Kanali Thomas amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya shilingi bilioni 15 kutekeleza miundombinu ya elimu kupitia program za BOOST na SEQUIP .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.