MKUU wa Idara ya Maendeleo ya Jamii katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma Anita Makota ametoa elimu ya kupinga ukatili wa kijinsia kwa madereva wa Boda boda Kata ya Mahanje.
Akizungumza na Vijana hao amewaasa kuepuka kuwapa wanafunzi Mimba za utotoni ambayo itawasababishia watoto hao kukatiza ndoto zao na kusababisha vijana wanaofanya uharifu huo kwenda jela badala yake wafanye kazi kwa bidii na kuachana na kufanya mambo yasiyofaa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.