WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) kinatarajia kutoa mafunzo kwa watoa huduma za utalii Mkoani Ruvuma.
Mafunzo hayo yanatarajiwa kufanyika kwa siku tano katika Manispaa ya Songea kuanzia Februari 20 hadi 25,2022.
Watoa huduma wanaohusika na mafunzo hayo ni wakala za kusafirisha watalii, watoa huduma za malazi,waongoza watalii,wakala wa tiketi za ndege,madereva taksi na wanaotoa huduma katika viwanja vya ndege.
Washiriki watapewa vyeti,Mafunzo ni bure,gharama za mafunzo zimefadhiliwa kupitia UVIKO 19.
Kwa Taarifa Zaidi Simu 0658221556
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.