Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Mbuji katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025 ndugu Ismail Ali Ussi
Mwenge wa Uhuru umeanza mbio zake mkoani Ruvuma tangu Mei 9 mwaka huu ambapo unatembelea Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma na utakabidhiwa mkoani Mtwara Mei 17 mwaka huu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.