KAMATI ya ulinzi na Usalama wilaya ya songea ikiongozwa na mwenyekiti wake Mkuu wa wilaya ya songea Pololet Mgema imetembelea na kukagua daraja la mto Nakawale kata ya Muhukuru wilaya ya songea ambalo limevunjika baada ya kusombwa na maji hivyo kuvunja Mawasiliano ya barabara kati ya wilaya ya Songea na nchi jirani ya Msumbiji.TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=KhOOHN8rqzs&t=17s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.