Mashujaa 67 wa vita ya Majimaji waliouwa kwa kunyongwa na wajerumani Februari 27,1906 wamezikwa katika makaburi mawili ndani ya Makumbusho ya Majimaji Songea ambapo kaburi moja wamezikwa Mashujaa 66 na kaburi moja la pekee yake amezikwa Jemedari wa wangoni Nduna Songea Mbano
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.