MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Ruvuma kwa kuzindua kituo cha Afya cha Mfano Kata ya Lilambo Manispaa ya Songea klichojengwa kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni 500 fedha za mapato ya ndani.
Pichani Makamu wa Rais Dkt.Philipo Mpango akiwa na baadhi ya mawaziri na uongozi wa Mkoa wa Ruvuma wakikagua majengo katika kituo cha Afya Lilambo ambapo ameupongeza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea kwa kusimamia vema mradi wa ujenzi wa kituo hicho ambacho kimeanza kutoa huduma za afya kwa wananchi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.