MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amefanya ziara ya kihistoria mkoani Ruvuma baada ya kutembelea mji wa Peramiho ambao umesheheni utalii wa kihistoria.
Dkt Mpango akiwa Peramiho alizindua jengo la kutoa huduma za usafishaji figo katika hospitali ya Rufaa ya misheni Abasia ya Peramiho
Abasia ya Peramiho imesheheni vivutio lukuki likiwemo kanisa kongwe la Peramiho lenye saa ya chuma iliyopo kwenye mnara wa kanisa ambayo haijawahi kurebishwa wala kupoteza majira tangu ilipotengenezwa mwaka 1946
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.