• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MAKAMU wa Rais awaasa wananchi Ruvuma kujitokeza kupata huduma ya msaada wa kisheria

Imewekwa kuanzia tarehe: July 23rd, 2023

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Philip Mpango amewasihi wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kujitokeza kwa wingi kupata huduma ya msaada wa kisheria kutoka kwa wataalam wa sheria waliopo katika wilaya na Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma.

Mhe. Dk. Mpango ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Nyasa na Mbinga ikiwa ni siku ya Nne ya ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi mkoani Ruvuma.

“Nimezindua rasmi utekelezaji wa Kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika Mkoa wa Ruvuma iliyofanyika katika uwanja wa Majimaji, Wilayani Songea. Hivyo nichukue nafasi hii kuwasihi mjitokeze kwa wingi pindi wataalam wa sheria watakapofika katika wilaya zetu,” amesema Makamu wa Rais Dk. Mpango.

Mhe. Dkt. Mpango amesema kuwa kampeni hiyo ina lengo la kuwasaidia wananchi wasio na uwezo wa kugharamikia wanasheria kuhakikisha wanapata haki zao.

Kwa Upande wake Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Songea Mjini, Mhe. Dk. Damas Ndumbaro amesema kuwa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ni mkakati unaotekeleza maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wenye lengo la kuongeza uelewa wa sheria na haki za binadamu kwa wananchi wote hususani wanawake,watoto na makundi maalum.

Dkt. Ndumbaro ameongeza kwamba Kampeni hiyo itasaidia kuimarisha huduma za ushauri na msaada wa kisheria hususani kwa wananchi wanaoishi katika maeneo ya pembezoni mwa nchi. Amesema kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia itapita katika kila halmashauri na kila kata, ambapo huduma hizo zitatolewa katika meneo yenye mikusanyiko, vituo vya mabus, vituo vya bodaboda, taasisi mbalimbali kama vile za elimu pamoja na maeneo ya vizuizi ikiwemo mahabusu na magereza.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KIONGOZI mwenge wa Uhuru aonya rushwa kwenye uchaguzi

    May 10, 2025
  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.