Mhifadhi Makumbusho ya Majimaji Danford Majongo akiielezea miongoni mwa picha za mashujaa wa Vita ya Majimaji kwa Wageni 22 kutoka sekondari ya Mwanakwereke C Zanzibar walipotembelea Makumbusho hayo hivi karibuni yaliopo Mji wa Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.