MAKUMBUSHO ya Taifa ya Majimaji yaliyopo Mahenge mjini Songea ni ya vivutio vya utalii vya kihistoria ambavyo vimebeba historia ya wangoni tangu walivyoanza safari yao kutoka Afrika ya Kusini hadi kuingia Songea,historia ya Vita ya Majimaji na harakati zote za ukombozi wakati wa ukoloni hadi kupata Uhuru wa Tanganyika mwaka 1961.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.