Makumbusho ya Taifa ya Majimaji yaliyopo Mahenge Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma yamejaliwa kuwa na utajiri wa historia ya harakati za ukombozi wa Tanganyika.
katika Makumbusho haya wamezikwa mashujaa 67 wa vita ya Majimaji waliouawa na wakoloni wa kijerumani mwaka 1906
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.