ENEO la kihistoria la Machedje lililopo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji kupitia Mkenda wilayani Songea mkoanI Ruvuma ,kimelkuwa ni kivutio kikubwa cha utalii wa kihistoria na kishujaa ambao unazungumzia harakati za ukombozi wa nchi ya Msumbiji ambayo ilifanikiwa kupata uhuru wake mwaka 1975 kutoka kwa wareno.Tazama habari kwa kina https://www.youtube.com/watch?v=a2oPjHFp5X8&t=73s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.