Mfanyabiashara maarufu Omary Msigwa maarufu kwa jina la SUPERFEO alitafuta fursa za uwekezaji kutoka mkoani Njombe hadi Songea mkoani Ruvuma.Anasema alianza biashara rasmi akiwa na umri wa miaka 20 baada ya kumaliza darasa la saba kwa mtaji usiozidi elfu ishirini (20,000).Superfeo hivi sasa ni miongoni mwa wawekezaji wakubwa mkoani Ruvuma akiwa na mabasi zaidi ya 50,magari ya mizigo yanayobeba makaa ya mawe,kiwanda cha kusaga unga wa mahindi na biashara nyingine.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.