Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amefanya ziara ya kikazi Wilaya ya ya Tunduru kwa kuwatembelea wanawake waliopo kijiji cha Pachani Kata ya Sisi kwa sisi ambapo amefurahishwa na wanawake hao kujali afya zao na za watoto wao.TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=QcahyU-Vbt4&t=28s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.