• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MANISPAA ya Songea kuboresha lishe mashuleni

Imewekwa kuanzia tarehe: August 29th, 2022

Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, imeamua kuboresha lishe kwa  shule za msingi pamoja na  sekondari katika halmashauri hiyo.

Kupitia taarifa ya  kikao cha lishe na utekelezaji, kilicho fanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Songea, ambapo kimewakutanisha wadau wa lishe, ambao wameamua shule za bweni na za msingi ziongezewe lishe bora.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea, Dkt Frederick Sagamiko, ameeleza namna Manispaa hiyo ilivyoweka mikakati ya kuboresha lishe kwa wanafunzi wa Manispaa hiyo kwalengo la kupunguza matatizo ya mtapia mlo kwa wanafunzi.

“Kimsingi tumekubaliana tunahitaji kuona matokeo makubwa zaidi kwa wananchi tunao wahudumia, zile changamoto zinazo ripotiwa kama mpatia mlo hivyo vyote tunatakiwa kuviondoa, lakini tumekubaliana shule zetu ziweze na bustani  na tumekubaliana tuwe na kituo kimoja cha maziwa” alisema Sagamiko.

Naye Afisa lishe  Manispaa ya Songea, Kisaka Joseph, ameeleza maadhimiyo ya kikako hicho kwamba shule zote za bweni na shule za msingi, kuhakikisha wazabuni wote wanaopeleka vyakula shuleni, wahakikishe vyakula hivyo viwe na ongezeko vya viini lishe.

“Kwahiyo kikao kimeridhia shule zote za bweni na msingi zilizopo manispaa, ziwe na bustani  kwa maana ya upatikanaji wa mboga mboga mashuleni na kuna aina nyingi za bustani ambazo zinahitaji eneo dogo zipo bustani viroba, bustani machupa hizo zote hazihitaje eneo kubwa” alisema Joseph.

Hata hiyo idara ya mifugo na vuvi ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea, imepewa maagizo ya kuongeza uzalishaji wa maziwa kwa kuhimalisha vikundi vya wafugaji vilivyopo na kufuga kisasa ili kuzalisha maziwa kwa wingi.   

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.