HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imepongezwa kwa kutozalisha madeni mapya kutoka kwa wazabuni na wadau mbalimbali.
Pongezi hizo zimetolewa na Mstaihiki Meya wa Manispaa ya Songea Mheshimiwa Michael Mbano wakati anazungumza kwenye mkutano wa Baraza la madiwani la Manispaa hiyo ambapo ameitaka Halmashauri hiyo kuendelea kuwa safi bila ya kuwa na madeni mapya.
Mbano pia amewataka Maafisa watendaji wa Kata wahakikishe wanasimamia utekelezaji wa zoezi la usafi wa mazingira sambamba na usafishaji maeneo yote ambayo yalilimwa mahindi wahakikishe yanaondolewa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.