Karibu katika banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya upate elimu kutoka kwa Afisa Mifugo kuhusu aina mbalimbali za malisho kulingana na mifugo uliyonayo kama vile ng'ombe, mbuzi, sungura, kuku ili ufanye ufugaji wenye
Hawa ni wajasiriamali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ambao wapo katika Maonesho ya Nanenane Nyanda za juu kusini yanayofanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya.
Wajasiriamali hawa ni wanufaika wa mkopo wa 10% unaotolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kwa Vijana, Wanawake na Walemavu.
Baadhi ya bidhaa za wajasiriamali hawa zinazalishwa kwa kutumia malighafi zitokanazo na mimea kama vile mhogo, mahindi, ulezi , rozela , mawese pamoja na aloevela
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.