Katikati ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mheshimiwa Kapenjama Ndile akiwa na baadhi ya viongozi kutoka mikoa ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wakiondoka kuelekea banda la Benki Kuu ya Tanzania,baada ya kutembelea banda la Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya kwenye maonesho ya nanenane viwanja vya John Mwakangale Mbeya
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.