Pichani kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas wakiteta jambo na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Ndugu, Oddo Mwisho (katikati) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mheshimiwa Antony Mtaka (kulia) leo Julai 20, 2023 wakati wakimsubiri Mkamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango awasili katika kijiji cha Lilondo kilichopo Halmashauri ya Madaba akitokea mkoani Njombe na kuja Kuanza ziara ya kikazi ya siku tano Mkoani Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.