pichani kushoto ni Rais Mstaafu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete alipotembelea Makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea,kulia kwake ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma wakati huo Mheshimiwa Monica Mbega
Pichani katikati mwenye suti ya bluu ni aliyekuwa Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ally Shein alipotembelea Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Songea
Dkt.Shein alitembelea Makumbusho hayo akiwa Makamu wa Rais,kushoto kwake ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dkt Christine Ishengoma
Mashujaa wa vita ya Majimaji wapatao 67 waliuawa kikatili na wajerumani Tarehe 27/2/1906 na kuzikwa ndani ya makumbusho haya ya majimaji ya Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.