Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amepiga marufuku shughuli zote za kibinadamu ikiwemo Kilimo kutofanyika kwenye vyanzo vya maji na kwamba watakaokiuka wachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria zilizopo ikiwemo sheria mama ya mazingira ya mwaka 2004
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.