KUELEKEA KUMBUKIZI YA MASHUJAA WA VITA YA MAJIMAJI TAREHE 27/2/2023
Mashujaa wa vita ya Majimaji wapatao 67 wakiwa ndani ya magereza la miti mjini Songea muda mfupi labla ya kunyongwa na wajerumani tarehe 27/2/1906
Mashujaa hao walinyongwa na kuzikwa ndani ya viwanja vya makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea.Katika makumbusho hayo kuna makaburi mawili moja wamezikwa mashujaa 66 na kaburi moja amezikwa Jemedari wa Wangoni Nduna Songea Mbano ambaye inaaminika kimezikwa kiwiliwili na kichwa kilikatwa na wajerumani na kukipeleka nchini Ujerumani
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.