Wakati ulimwengu unaendelea na mapambano dhidi ya virusi vya corona, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linaeleza wasiwasi wake kuhusu elimu ya watoto kutokana na ulazima wa kufungwa kwas hule katika mataifa takribani 120 hivi sasa duniani kote. Shirika hilo linasema zaidi ya nusu ya wanafunzi wote ulimwenguni wameathiriwa na hatua ya kufungwa kwa shule ikiwa ni sehemu ya juhudi za kutokomeza ugonjwa huo.
anzania kama zilivyo nchi nyingine, wakati wizara ya elimu ikiweka mikakati bora ya watoto kusoma, wizara ya afya nayo inafanya juhudi kuhakikisha watoto wanatambua namna ya kujinda kama anavyoeleza Afisa habari wa wizara hiyo ya Afya ya Tanzania Bwana Gerald Chami katika makala hii iliyoandaliwa na John Kabambala wa redio washirika KidsTime FM.
TAZAMA zaidi hapa https://news.un.org/sw/audio/2020/03/1085712
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.